15
Sun, Dec
14 New Articles

Top Stories

Mhe. Mohamed Khamis Hamad Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), akifafanua jambo kuhusu kongamano la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu lililofanyika Ofisi za Tume Dar e ssalaam leo tarehe 11/12/2019.

News

 

MAKAMU Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Mohamed Khamis Hamad amewataka vijana nchini kuyaelewa malengo endelevu ya maendeleo (SDGs) ili waweze kushiriki kikamilifu kuyatekeleza

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika akiongea kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika kitaifa jijini Dodoma, Desemba 11, 2019.

News

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika ametoa onyo kwa watumishi wasio waadilifu na kusema kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao pindi watakapobainika.

Mkuchika alitoa onyo hilo Desemba 11, 2019 kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu lililofanyika kitaifa jijini Dodoma.

Leo Desemba 10, 2019 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wa haki za binadamu ulimwenguni kote kuadhimisha miaka 71 ya Azimio la Ulimwengu la Haki za Binadamu (Universal Declaration for Human Rights).Soma zaidi

 

Kama tunavyofahamu kuwa siku ya Jumapili Novemba 24, 2019 Watanzania kote nchini watafanya uchaguzi wa viongozi ngazi ya Serikali za Mitaa. Hatua hiyo ya uchaguzi imetanguliwa na uandikishaji wapiga kura, uteuzi wa wagombea na kampeni za wagombea, hatua ambazo zimetekelezwa kwa mafanikio makubwa.

 

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeridhishwa na idadi ya watu waliojitokeza kujiandikisha kupiga kura. Idadi hiyo imeongezeka ukilinganisha na idadi ya watu waliojiandikisha katika uchaguzi kama huo uliofanyika mwaka 2014.Soma Zaidi

 

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea taarifa zinazohusu askari polisi kuwapiga na kudhalilisha watu wenye ulemavu katika tukio lililotokea asubuhi ya Jun 16,2017,Mtaa wa Sokoine Jijini Dares Salaam.Soma zaidi

 

 

Crime affected citizen thoughts

Press Release

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuhusu uvamizi wa kituo cha Luninga na Radio cha Clouds Media Group, uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, usiku wa tarehe 17, Machi mwaka huu, akiwa na askari wenye silaha.

Hotuba ya Mheshimiwa Bahame Tom Nyanduga, Mwenyekiti wa Tume katika siku ya kupinga mateso na ukatili dhidi ya wazee duniani, tarehe 15 Juni 2017, yaliyofanyika katika ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jengo la Haki, Dar es Salaam. Pakua hotuba kamili

Hotuba ya Mhe. Bahame Tom Nyanduga, Mwenyekiti wa Tume wakati wa hafla ya utoaji tuzo za umahiri wa uandishi wa habari tanzania (EJAT) 2015, ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, aprili 29, 2016. Pakua hotuba kamili

Hotuba ya mwenyekiti wa Tume Mhe. Bahame T. Nyanduga, katika ufunguzi wa mkutano wa wadau kuhusu mikakati ya kukomesha mauaji na ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi , tarehe 18 Machi 2015 katika ofisi za Tume. Pakua hotuba kamili

 MAONI YA WANANCHI KUHUSU WAOMBAJI WANAOITWA KWENYE USAILI KWA AJILI YA NAFASI ZA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI NA MAKAMISHNA WA TUME

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ni taasisi huru ya umma na inayojitegemea iliyoanzishwa chini ya Ibara ya 129(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sura ya Pili ya Sheria yenye majukumu ya kuhakikisha kuwa haki za binadamu na utawala zinakuzwa, kulindwa na kuheshimiwa  nchini

Kamati ya Uteuzi  inawaalika  raia wa Tanzania wenye sifa zinazotakiwa kuwasilisha maombi kwa nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna ili  kujaza nafasi zilizo  wazi katika Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.Pakua Habari kamili . Read more

 

TUNAPENDA KUWATANGAZIA WADAU NA WATEJA WOTE WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA KWAMBA OFISI ZETU ZILIZOPO JENGO LA TANCOT ZIMEHAMIA JENGO LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA MTAA WA MKWEPU. HIVYO HUDUMA ZOTE ZITATOLEWA HUKO KUANZIA TAREHE 01 JANUARI, 2019

UTAWALA

Sign up via our free email subscription service to receive notifications when new information is available.
Advertisement