MAONI YA WANANCHI

Announcements
Typography

 MAONI YA WANANCHI KUHUSU WAOMBAJI WANAOITWA KWENYE USAILI KWA AJILI YA NAFASI ZA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI NA MAKAMISHNA WA TUME

 

Kamati ya Uteuzi wa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa chini ya Ibara ya 129(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 inautangazia umma kuwa waombaji wafuatao wanaitwa kwa ajili ya usaili kwa nafasi mbalimbali katika Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Pakua [kiingereza] [Kiswahili]