08
Sat, Aug
3 New Articles

Contact Us

Contacts
Typography

Malalamiko yanaweza kuwasilishwa na mtu mmoja, kikundi cha watu au taasisi. Malalamiko yawasilishwe kwa kutumia mojawapo ya njia zifuatazo:

(a) Kuandika barua 

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S .L .P 1049, DODOMA.

Simu: (022)2135747/8, 2137125

Faksi : (022)2111281

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S .L .P 2643, DAR ES SALAAM.

Simu: (022)2135747/8, 2137125

Faksi : (022)2111281

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S . L .P 285, ZANZIBAR.

Simu: (024) 2230854 

Faksi: (024) 2230494

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S . L .P 10430, MWANZA.

Simu: (028) 2541770

Faksi: (028) 2541770

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S . L .P 1050, LINDI.

Simu: 0732 933008 

Faksi: (023) 2202734

 

Mwenyekiti, 

Tume ya Haki Za Binadamu na Utawala Bora,

S . L .P 231, WETE - PEMBA.

Simu: (024) 2454196

 

(b) Kufika kwenye ofisi za Tume

Mwenye malalamiko anaweza kufika katika mojawapo ya ofisi za Tume zifuatazo kuelezea malalamiko yake:

DODOMA- MAKAO MAKUU

Nyumba na: 339 - Mtaa wa Nyerere, Eneo la Kilimani

DAR ES SALAAM 

Haki House - Mtaa wa Luthuli, inapakana na Ofisi ya Makamu wa Rais upande wa Kusini 

ZANZIBAR

Jengo la Kamisheni la Wakfu na Mali za Amana, Kitalu Na. 201, Mbweni.

LINDI (Kanda ya Kusini)

Mtaa wa Wailes, Jengo la zamani la TTCL (Barabara ya kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa).

MWANZA (Kanda ya Ziwa)

Mtaa wa Liberty, Jengo la NBC, Ghorofa ya Tatu.

WETE (Kanda ya Pemba)

Mtaa wa Kitutia, Jengo linalopakana na Ofisi za Posta Wete.

(c) Kutuma ujumbe mfupi wa simu ya kiganjani (SMS)

Mwenye lalamiko au taarifa anaweza kutuma ujumbe mfupi wa simu ya kiganjani kwenda Na. 0737 446 787 kwa kufuata hatua zifuatazo:

Jinsi ya kuwasilisha lalamiko...

Tuma llalamiko lako ukianzia ukianzia na neno ‘REPORT’ kwenda namba 0737 446 787. Mfano: REPORT Shule ya Msingi Kinondoni, DSM tunachapwa viboko zaidi ya 10.

Utapokea ujumbe usemao lalamiko lako limepokelewa Tume, na utaelekezwa kama unayo maelezo zaidi yatume kupitia barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au simu namba 022 2135747/8.

Maafisa wa Tume wanaweza kukupigia simu ili kupata maelezo zaidi kabla ya kuanza kushughulikia lalamiko lako.

Lalamiko lako litakapoanza kushughulikiwa, utapata ujumbe wa simu kukujulisha Namba ambayo utaitumia kufuatilia lalamiko lako. Namba hii itatumwa kwako kupitia namba ya simu uliyotumia kuwasilisha lalamiko lako.

Utaweza kujua hat ambayo maafisa wa Tume wamefikia kwa kutuma ujumbe wa simu pamoja na Namba ambayo utakuwa umepewa baada ya lalamiko kufunguliwa jalada.

Jinsi ya kufuatilia lalamiko lako…

Tuma ujumbe wake ukianza na neno ‘STATUS’ kwenda namba 0737 446 787. Mfano: STATUS 13024 (Iwapo Namba ya jalada lako utakalopewa ni 13024).

 

Kumbuka: Namba 0737 446 787 inapokea ujumbe tu, hivyo usipige simu kwenda namba hii, haitapokelewa.