08
Sat, Aug
3 New Articles

PONGEZI KWA MHE. RAIS KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI

Pongezi kwa Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli kwa kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani

Press Release
Typography

Itakumbukwa kuwa mapema wiki hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi watatu wa vyama vya upinzani. 

Viongozi hao ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalimu Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Bwana James Mbatia, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Soma zaidi

 

Sign up via our free email subscription service to receive notifications when new information is available.