Kupongeza Juhudi za Serikali Dhidi ya Ugonjwa wa Corona

Kupongeza juhudi za Serikali dhidi ya Mapambano ya Mlipuko wa Maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona

Press Release
Typography

Itakumbukwa kuwa katikati ya mwezi Machi mwaka huu Serikali ilitangaza mapambano rasmi dhidi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona ambavyo hivi karibuni imekuwa ni janga kubwa duniani.Soma zaidi