Pongezi kwa Mhe.John Pombe Magufuli kwa Tanzania kuingia Katika Orodha ya Nchi za Uchumi wa Kati.

Pongezi kwa Mhe.John Pombe Magufuli kwa Tanzania kuingia Katika Orodha ya Nchiza Uchumi wa Kati.

Press Release
Typography

Julai 1, 2020 Benki ya Dunia iliutangazia ulimwengu Kuwa imeirodhesha Tanzania katika orodha ya nchi za uchumi wa Kipato cha kati, hatua iliyojiri miaka mitano kabla ya muda uliopangwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa wa mwaka 2025. Soma zaidi