ADEM Logo
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

COMMISSION FOR HUMAN RIGHTS AND GOOD GOVERNANCE

Building a culture of respecting human rights, principles of good governance and human dignity
ADEM Logo

How to lodge my complaint with the Commission?

Kuna njia kuu tatu (3) za kuwasilisha lalamiko Tume. Nazo ni: 1. Kwa kufika kwenye mojawapo ya ofisi ya Tume na kuwasilisha lalamiko. 2. Kwa kuandika barua na kuituma kwenye ofisi ya Tume iliyokaribu nawe. 3. Kwa njia ya mtandao - kupitia tovuti ya Tume, Mobile App na ... NB: kwa taarifa za kina fungua kipeperushi "Utaratibu wa Kuwasilisha Malalamiko Tume" na "Jinsi ya Kuwasilisha na Kufuatilia Malalamiko kwa njia ya Mtandao.)