Kitengo cha Mipango na Bajeti
i.Kuratibu mchakato wa maandalizi na utekelezaji wa mipango na bajeti ya shughuli za Tume
ii.Kuratibu uandaaji wa mpango kazi wa mwakana mpango mkakati wa Tume;
iii.Kuainisha miradi ,programu,mipango kazi na kuendeleza mikakati ya ukusanyaji wa rasilimali;
iii.Kuratibu maandalizi ya maandiko ya miradi na programu kwa ajili ya kupata rasilimali fedha za ndani na nje ya nchi;
iv.Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi, tafsiri na uwasilishaji wa takwimu za Tume;
v.Kuratibu mapitio ya nusu na mwaka ya utendaji kazi wa Tume ;
vi.Kuratibu uandaaji wa taarifa za wiki, mwezi, robo, nusu na mwaka za utekelezaji wa majukumu ya Tume.
vii.Kufanya ufuatiliaji/utafiti wa maoni ya wadau kuhusu huduma zinazotolewa na Tume.