Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Majukumu ya Kitengo
i. Kuandaa Mipango Mikakati ya Ukaguzi
ii. Kuratibu mipango ya ukaguzi;
iii. Kutoa ushauri sahihi wa kifedha na kiutendaji kwa Katibu Mtendaji kuhusu matumizi ya fedha;
iv. Kuchambua mfumo uliopo wa uhasibu na kuchunguza malipo na makusanyo ya mapato;
v. Kufanya ukaguzi wa utendaji kuhusu tathmin za miradi ya maendeleo;
vi. Kupitia taarifa ya za ukaguzi wa ndani na nje zinazohusu masuala ya menejimenti ya Tume;
vii. Kufanya ukaguzi wa Kiutendaji au ukaguzi; na
viii. Kupitia mfumo wa udhibiti wa ndani wa Tume

