Tume Ya Afrika Ya Haki Za Binadamu Na Watu, Yatembelea Makao Makuu, Ya Tume Ya Haki Za Binadamu Na Utawa Bora; Dodoma
                            
                                 28 Jan, 2023
                            
                                
                             
                                Mhe. Dkt. Litha Musyimi Ogana, Kamishna wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Makao Makuu ya Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Kilimani Jijini Dodoma, Januari 27, 2023.

