ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Je, inachukua muda gani hadi kupata ufumbuzi wa lalamiko nililoliwasisha Tume?

Ndani ya siku saba (7) za kazi utajulishwa kupokelewa kwa lalamiko lako na kupatiwa namba ya jalada la lalamiko uliloliwasilisha.