Idara ya Utawala na Rasilimali Watu
.
Majukumu ya Divisheni
i. Kutoa ushauri kuhusu masuala ya utawala na rasilimali watu;
ii. Kutoa michango ya kimkakati juu ya utawala na maendeleo ya rasilimali watu na taratibu za nidhamu za
mafunzo, uhifadhi wa wafanyikazi, motisha, usimamizi wa utendaji na ustawi;
iii. Kuhakikisha usimamizi bora, ufanisi na matumizi ya rasilimali watu katika taasisi; na
iv. Kusimamia ustawi wa wafanyakazi

