ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

MHE. MOHAMED KHAMIS HAMAD

MOHAMED KHAMIS HAMAD photo
MHE. MOHAMED KHAMIS HAMAD
Makamu Mwenyekiti

Barua pepe: mohamed.hamad@chragg.go.tz

Simu: 0734047775

Wasifu

 

Mohamed Khamis Hamad, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuanzia Septemba 19, 2019. Pia, alikuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuanzia mwaka 2015 hadi 2018. Kabla ya hapo alikuwa Wakili wa Serikali Mwandamizi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka, Zanzibar tokea mwaka 2004. Alikuwa anasimamia kesi katika Mahakama ya Rufaa, Mahakama Kuu na Mahakama za chini.

 

Kitaaluma ni mwanasheria aliyebobea katika Sheria za Kimataifa. Ana elimu ya kiwango cha Shahada ya Uzamili aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Oslo, Norway, 2007.