ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

MHE. Dkt. THOMAS PAUL MASANJA

THOMAS PAUL MASANJA photo
MHE. Dkt. THOMAS PAUL MASANJA
Kamishna

Barua pepe: thomas.masanja@chragg.go.tz

Simu: 0734047775

Wasifu

Mhe. Dkt.Thomas Masanja, Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuanzia Septemba 19, 2019. Amekuwa Mhadhiri wa Sheria wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino kilichopo jijini Mwanza kwa takribani miaka 15 akifundisha Sheria za Kimataifa, Haki za Binadamu na Sheria za Habari. Mhe. Dkt. Masanja ameandika machapisho mbalimbali na amekuwa akitoa ushauri wa kitaaluma katika maeneo ya Haki za Binadamu, Haki za Mtoto na Uhuru wa Kutoa Maoni.