Maafisa Bajeti THBUB washiriki Kikao Kazi
                            
                                 09 Jul, 2024
                            
                                
                             
                                Leo Julai 8,2024 Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Maafisa Bajeti wameshiriki katika kikao kazi cha namna ya kutumia Mfumo wa Kielectroni wa Manunuzi-NeST
Kikao kazi hicho cha siku mbili kimelenga katika maeneo yafuatayo;Kufahamu waraka Na2. Kufahamu mwongozo wa namna ya kutumia NeST na kufanya mazoezi ya matumizi ya mfumo huo.

