Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora afanya ziara Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Jijini Dodoma.
                            
                                 15 Feb, 2023
                            
                                
                             
                                Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mathew P.M Mwaimu (JajiMstaafu)akitoa ujumbe wa Tume alipofanya ziara katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka iliyopo Mtumba Jijini Dodoma Februari 14,2023.

