ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Soko la Mavunde

02 Dec, 2022
Soko la Mavunde

Bwa. Joshua Taramo, Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma, Mawasiliano, Utafiti na Nyaraka kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) akitoa elimu juu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Soko la Chamwino tarehe 02 Disemba, 2022 Jijini Dodoma.