ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Wanafunzi wa Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS) wakisikiliza mada

02 Dec, 2022
Wanafunzi wa Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS) wakisikiliza mada

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS) kilichopo Jijini Dodoma wakifuatilia mada mblaimbali kutoka kwa Maafisa wa tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) na Taasisi ya Kuzuia na Mupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma wakati wa Seminar Elekezi ya kuanzisha Klabu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika chuo hiko iliyofanyika tarehe 30 Novemba, 2022 Jijini Dodoma.