Wanafunzi wa shule ya Secondari ya Wasichana Msalato wakifuatilia mada
                            
                                 03 Feb, 2023
                            
                                
                             
                                Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Msalato wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa na wataalamu kutoka taasisi mbalimbali za sekta ya sheria na haki za binadamu tarehe 23 Januari, 2023.

