emblem

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu

Habari

THBUB, THRDC wakutana kuzungumzia mashirikiano


Asubuhi ya leo maafisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG); Bi. Beatrice Beda (kushoto) pamoja na Bw. Mbaraka Kambona (kulia), wametembelea ofisi za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na kufanya mazungumzo na Afisa Uwezeshaji wa THRDC Wakili Deo Bwire (katikati) juu ya jinsi gani CHRAGG na THRDC wanaweza kuboresha ushirikiano katika kufanya kazi za Utetezi wa Haki za Binadamu nchini kwa ukaribu zaidi katika siku za usoni. Huu ni mwendelezo mzuri wa mahusiano ya muda mrefu kati ya CHRAGG na THRDC, lakini pia ni mwanzo mzuri kwa Tume ya Haki