ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Kongamano la kukuza Maadili na Mapambano Dhidi ya Rushwa tarehe 26/11/2022

24 Nov, 2022

WaandaajiTAKUKURU na THBUB

Katika Ukumbi wa Mikutano wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia  02:30 Asubuhi

Mgeni Rasmi atakuwa ni   Mhe. Deogratius John Ndejembi, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.