ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Kitengo cha Taasisi za Haki Jinai

Majukumu ya Kitengo
i.kupokea na kuchunguza malalamiko ya wananchi;

ii.kufanya ukaguzi wa magereza, vituo vya polisi na maeneo mengine ya kizuizini kwa mujibu wa sheria; kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume;

iii. kufuatilia matukio yenye athari kwa umma;

iv kuwezesha usuluhishi na upatanishi pale inapowezekana; na

v kutoa tahadhari za mapema kuhusu uwezekano wa uvunjwaji wa haki za binadamu.