Afisa wa THBUB akitowa Elimu ya Haki za Binadamu soko la Saba saba, Halmashauri ya jiji, Dodoma
                            
                                 03 Feb, 2023
                            
                                
                             
                                Bw. Said R. Zuberi, Afisa Uchunguzi Mwandamizi kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) akitoa elimu juu ya haki za binadamu katika soko la Sabasaba lililopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma tarehe 23 Januari, 2023.

