Maafisa wa Polisi wakifuatilia mada
                            
                                 03 Feb, 2023
                            
                                
                             
                                Baadhi wa Maafisa wa Jeshi la Polisi Kituo cha Kati Jijini Dodoma wakifuatilia mada mbalimbali kutoka kwa wadau wa sekta ya sheria na haki za binadamu yaliyofanyika tarehe 24 Januari, 2023 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini.

