ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

THBUB yashiriki Kikao cha 77 cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

21 Oct, 2023
THBUB yashiriki Kikao cha 77 cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Oktoba 20,2023 Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe.Mathew Mwaimu(JajiMstaafu) ameshiriki Kikao cha 77 cha Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kilichofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa[ cha Mikutano Arusha.

Aidha Mhe.Mwaimu alipata nafasi ya kutoa salam kwa  niaba ya Adv. Joseph Whittal Mwenyekiti wa  Network  of Afrika National Human Rights Institutions(NANHRI).

Mgeni rasmi wa   Kikao hicho ni Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dkt  Hussein Mwinyi.

Kikao hicho kimeanza Oktoba20 hadi Novemba9,2023 Arusha.