ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Maafisa kutoka THBUB na TAKUKURU wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Klabu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS)

02 Dec, 2022
Maafisa kutoka THBUB na TAKUKURU wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Klabu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS)

Viongozi wa Klabu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Chuo cha Dodoma College of Health and Allied Sciences (DIHAS)  wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakati wa program ya kuanzisha Klabu ya Haki za Binadamu na Utawala Bora tarehe 30 Novemba, 2022 Jijini Dodoma.