ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Picha ya pamoja na mgeni Rasmi

30 Nov, 2022
Picha ya pamoja na mgeni Rasmi

Picha ya pamoja kati ya Mgeni Rasmi Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb), Naibu Waziri, Ofisi ya Rais - Utumishi wa umma na Utawala Bora na baadhi ya watumishi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Kongamano la Kukuza Maadili na Mapambano Dhidi ya Rushwa lililofanyika tarehe 26 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa mikutano wa Chimwaga uliopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma.