ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

THBUB yazindua kipeperushi cha Jumuiya ya Haki za Binadamu Chuo Kikuu Dodoma

13 Feb, 2023
THBUB yazindua kipeperushi cha Jumuiya ya Haki za Binadamu Chuo Kikuu Dodoma

Bw. Said Zuberi, Afisa Uchunguzi Mwandamizi kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (wa kwanza kulia) akizindua Kipeperushi cha Jumuiya ya Haki za Binadamu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma katika Ukumbi wa LM 8 tarehe 04 Februari, 2023 Jijini Dodoma. Kipeperushi hicho kinaelezea Kuhusu Jumuiya, Malengo, Mikakati, Majukumu na Utaratibu wa kujiunga.