ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Tume Ya Afrika Ya Haki Za Binadamu Na Watu, Yatembelea Makao Makuu, Ya Tume Ya Haki Za Binadamu Na Utawa Bora; Dodoma

28 Jan, 2023
Tume Ya Afrika Ya Haki Za Binadamu Na Watu, Yatembelea Makao Makuu, Ya Tume Ya Haki Za Binadamu Na Utawa Bora; Dodoma

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (wa tatu kushoto), Kiongozi wa ujumbe kutoka Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), Mhe. Kamishna Ourveena Geereesha Topsy-Sonoo (wa tatu kulia) na Mhe. Kamishna Dkt. Litha Musyimi Ogana (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kutoka ACHPR, ujumbe huo ulipotembelea Makao Makuu ya Ofisi za THBUB, Kilimani jijini Dodoma, Januari 27, 2023. Wengine kutoka kulia ni Dkt. Francis Magare, Afisa Utafiti; Bi. Abiola Idemilejo, Afisa Sheria Mwandamizi, na Dkt. Chairman Okoloise, Afisa Sheria Mwandamizi