ADEM Logo
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Tunajenga utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu, misingi ya utawala bora na utu wa mtu
ADEM Logo

Wiki ya Sheria

26 Jan, 2023
Wiki ya Sheria

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bwana Patience Ntwina (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Tume  katika banda lao la  maonesho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza Januari 22, 2023  viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.