Mkurugenzi Msaidizi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Philip Sungu(Kulia) akiwa katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 23,2025 Viwanja vya Chinangali Dodoma
Baadhi ya Watumishi Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora wakiwa katka kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 23,2025 Viwanja vya Chinangali Dodoma
Mkurugenzi Msaidizi Utawala Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Fraksed Mushi(kushoto) akiwa katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 23,2025 Viwanja vya Chinangali Dod...
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali Watu Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Gabriel Robi kisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la THBUB katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa...
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Wizara ya Katiba na Sheria Bwa.Abdulrahman Msham akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la THBUB katika Maadhimisho ya Wiki ya...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria,Dkt. Franklin Jasson Rwezimula akizungumza na baadhi ya Watumishi wakati alipotembelea Banda la THBUB katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 2...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria,Dkt Franklin Jasson Rwezimula akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la THBUB katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 23,2025 Vi...